
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (Form Two National Assessment – FTNA 2025) pamoja na Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (Standard Four National Assessment – SFNA 2025).
Matokeo hayo yametangazwa Januari 10, 2026, na Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said A. Mohamed, wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam.
0 Comments