TAZAMA HAPA MATOKEO YA MTIHANI DARASA LA SABA 2026

 

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (Darasa la Saba) uliofanyika nchini kote kuanzia Septemba 9, 2026.

Matokeo hayo yametangazwa leo, Jumanne, Novemba 3, 2026, na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Profesa Said Ally Mohamed.

Post a Comment

0 Comments